JUMUIYA ya umoja wa wazazi ni chombo kinachoongozwa na chama cha Mapinduzi, kimeundwa
kwa mujibu wa katiba ya Chama Cha Mapinduzi, ya mwaka 1977 Toleo la mwaka 2012
sehemu ya nne ibara ya 129 (1c), 3,4, na 5.
Jumuiya hii ina viongozi kuanzia ngazi ya Taifa mpaka matawi, wilaya ya Ubungo ina kata 14, matawi 137 ambayo yana viongozi na kamati za utekelezaji ambazo zina jukumu la kujadili na kufanya maamuzi yanayohusiana na Jumuiya.
MWENYEKITI WAZAZI MKOA WA DAR ES SALAAM COMRED FRANK KAMGISHA KUSHOTO NA KATIBU MKUU WAZAZI TAIFA COMRED ERASTO SIMA WAKIFUATILIA JAMBO SIKU YA BARAZA LA WAZAZI KATA MBURAHATI (29/12/2018) PICHA NA ALHAJI MAKOYE
KATIBU WAZAZI MKOA DAR ES SALAAM COMRED LUGANO MWAFONGO AKIONGEA JAMBO SIKU YA BARAZA LA WAZAZI KATA MBURAHATI (29/12/2018)
MMOJA WA WANACHAMA ALIJIUNGA NA JUMUIYA YA WAZAZI KATI WANACHAMA 380 WAPYA, KADI HIZO ZILITOLEWA NA KATIBU MKUU WAZAZI TAIFA COMRED ERASTO SIMA BAADA YA KUWAAPISHA
COMRED FRANK KAMUGISHA AKITOA NENO NA UKARIBISHO KWA VIONGOZI
KATIBU ELIMU, MALEZI NA MAZINGIRA WILAYA YA UBUNGO KING RASHID MLANGA AKITAMBULISHA VIONGOZI WA WILAYA KWA WAGENI
WANACHAMA WA CCM NA JUMUIYA KUTOKA MATAWI MANNE YALIYOKO KATA YA MBURAHATI WAKISIKILIZA NENO KUTOKA KWA VIONGOZI
MMOJA WA WANACHAMA ALIJIUNGA NA JUMUIYA YA WAZAZI KATI WANACHAMA 380 WAPYA, KADI HIZO ZILITOLEWA NA KATIBU MKUU WAZAZI TAIFA COMRED ERASTO SIMA BAADA YA KUWAAPISHA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni