Na Voina Maganda
DIWANI wa kata Kimara, wilaya ya Ubungo (Jana) Paschal Manota atamba kunoga baada ya kujiunga Chama cha Mapinduzi leo katika ziara ya kamati ya siasa na sekretarieti ya kata katika mashina manne ya tawi la Mavurunza.
DIWANI WA KATA YA KIMARA PASCHAL MANOTA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA VIONGOZI WA KATA NA TAWI LA MAVURUNZA (SWEDY MAKOYE)
Akiongea kwa mbwembwe alisema "siku hizi imekuwa ada kila anapopita anaambiwa na wananchi kuwa kanoga yaani anang'aa na kupendeza nami huwa nawajibu niko mahali salama ambako hakuna stress aka (free stress zone)".
Ukiwa upinzani unakosa ufahamu hata sielewi ni jambo gani huwa linatukumba maana kazi ni kupinga tu kila kitu bila kujali unachopinga, unakuwa na upofu fulani na unalazimika kujitoa ufahamu, aliongeza Manota.
Hata hivyo Manota hakusita kushukuru wanachama na viongozi kwa ushirikiano na mapokezi mazuri anayopata na hali hiyo imemfanya kuwa na amani.
Manota ni mmoja wa madiwani wa nne waliopo Ubungo kwa tiketi ya CCM.
Wanaofuata
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAZAZI
Na Voina Maganda JUMUIYA ya umoja wa wazazi ni chombo kinachoongozwa na chama cha Mapinduzi, kimeundwa kwa mujibu wa katiba ya Chama Cha M...
-
KATIBU Mkuu Jumuiya ya Wazazi Taifa Erasto Sima afunga mwaka na Mkutano wa Baraza la Wazazi kata ya Mburahati kwa kuhimiza umuhimu wa wana...
-
Na Voina Maganda JUMUIYA ya umoja wa wazazi ni chombo kinachoongozwa na chama cha Mapinduzi, kimeundwa kwa mujibu wa katiba ya Chama Cha M...
-
KATIBU wa siasa na uenezi wilaya ya Ubungo Mbaruku Masoud Mohamed asisitiza umuhumu wa viongozi kuwajibika na kufuata maelekezo kwa wakati...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni